IT/Language Collage

Kuhusu TLD | Huduma

Welcome to the Language Doctors website. Chinese German Hebrew Arabic Swahili Spanish English
Language Doctors logo

Providers of Multilingual Staffing Solutions and IT Services
     

Ulimwengu unakuwa mdogo kila siku na mawasiliano ni muhimu ukitaka kuendelea . Madoctor wa Lugha (TLD) wanatoa tafsiri, wanafundisha lugha za nchi za nje na wanasaidia serikali na sera mbalimbali hapa Marekani. TLD wanafanya kazi na kampuni siyo za serikali hapa Marekani, Ulaya na Caribbean.

TLD inafikisha miaka 10 mwaka kesho 2004. Katika miaka kumi iliyopita, biashara yetu imeweza kuwa kiongozi kwa kutoa huduma za lugha hapa makoa makuu ya Marekani. Huduma za TLD zinapatikana H Street Corridor karibu na Capital Hill, nyumba kama sita kutoka Union Station. TLD ina wafanyakazi vigogo (www.meetthestaff.com) na imefanya kazi na kampuni nyingi (www.clients.com). TLD inajitahidi kuhakikisha kuwa H Street Corridor inaendelea kujengwa. Kujua zaidi kuhusu H. Street Main Street nenda www.hstreetdc.com/mainst

Kujua zaidi kuhusu kazi za TLD au ukitaka kukutana na wafanyakazi wao pamoja na kuona kampuni wanazo zisaidia, nenda guote

 

   

Baadhi ya huduma zetu ni haya.... GSA Certified | 8(a) Certified | Located in HUB Zone | LSDBE | DC Supply Schedule


TLD ni mwana chama ya shirika ya huduma za kutafsiri Amerikani
 American Translators Association


Tuko katika orodha ya GSA. Jigundilie jinzi ya kujifaidisha Kwa chagua baadhi ya huduma nafuu tunaowapa wateja wetu serikalini.

 


Huduma

Kutafsiri .. Utafsiri/mazoea/makazi
Uandishi na mitambo ya kuhudumu   Maelezo ya lugha na ufunzi
Huduma za mitandao na miundo ya  michoro   Ukodeshaji wa Vyombo vya Kutafsiria
Ujuzi uliopo na hudumai ..    

 

 

The Language Doctors participates in the following contracting programs:

8(a) Certified • Hub Zone • GSA Schedule Contract #GS-10F-0022K • Local Small Disadvantaged Business Enterprise (LSDBE)

..

A foundation for your success.


The Language Doctors
500 H Street, NE • Suite 300 • Washington, DC 20002 | info@tldinc.org
Phone 202.544.2942 • Fax 202.547.2311